Ebitoke: Choka Bojo kumbe BBC ni wakubwa hivi?

Ebitoke: Choka Bojo kumbe BBC ni wakubwa hivi?

Katika maadhimisho ya kusherehekea miaka 60 ya BBC Swahili, Timamu African Media imetoa zawadi hii katika kuipongeza BBC.
Video zingine zipo
www.busywatching.com
Video Rating: / 5

You may also like...

20 Responses

 1. Shuweha Haruna Omari Ikwena says:

  hakuna lolote mkali wenu kiboko yao kama jina lake lilivyo

 2. Lutho Machanchu says:

  hahah

 3. Yassin Musa says:

  muuza K maarufu

 4. LAYTHAT OMAN says:

  Walipomfukuza mkali wao awa walijiroga kwe yule jamaa noma

 5. Chris 11 says:

  ???

 6. M'mangyo 'yala Honorina says:

  hahahahahahahagaha

 7. Mau Kabaka says:

  hamchagui Kazi
  sema nini ebitoke mi birthday yangu mwezi huooo

 8. Ashura Sadara says:

  hhahaha tishaaaaa sanaa nawakubarii

 9. james sanga says:

  Mnajita hidi kwa ubunifu but msiwe mnaachia kila siku kazimpyaa muwe mnajitaidi kubunimoja kubwa atamukiiachia ina kaaa mda mlefu kuweni wajanja nakuiga walio tangulia kama akina joti

 10. Nasra Mboje says:

  nko vzr jmn

 11. Kipunga_ thedon_tz says:

  ttz la wabongo wakishajiona wanawezaa basi ndo wanahamaa na kuhamaa kbx,,xaxa mkali wenuu kaendaa kajionaa anawezaa xanaaaaaaaaaaaaa,,,, xa hv ht hvnj mbavuu km alivyokuaa timamu tv

 12. Shaaban Musa says:

  Muko vizuri tu mbonaa, keep it up Timamu Tv

 13. bby dorice miss yeohnwa says:

  Duh ebitoke unanivunja mbavu

 14. Nadine Bosschick says:

  Kiki za benpol na ebitoke zilishia bbc swahili???

 15. Mnazi Tv Tanzania says:

  Wapi Mkali wenu

 16. Jacob Mbaru says:

  Mko vzr Timamu media hasw ebipol

 17. lucas migera says:

  Tangu mkaliwenu aondoke mmekua waigizaji na sio wachekeshaji

 18. Aziza Ooo says:

  hahaaaaaaaaa

 19. Khadijah Ka says:

  saf sana

 20. Hidaya Tinno Hidaya Tinno says:

  ???????

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Skip to toolbar